Ni jamaa ambaye amelalamika sana kuhusu mama watoto wake anafahamika kwa jina la Mama Halima kuwa amemtenda sana na hakutegemea hilo kwa bi shosti huyo.
Mchiz anaitwa Linex ambaye ngoma yake ya Mama Halima inafanya vzr sana kwa sasa kwenye Radio station nyingi za hapa bongo.
video inafanywa na kamanda john khalage. tusibiri tuone

No comments:
Post a Comment