Thursday, July 14, 2011

pozi za d zonga na wana

 khadija, herieth, d zonga, prof j na god zilla
 kama chini tu wanna

 mwana jina limenitoka, madee, d zonga, richard,na belle 9
 janeth na d zonga
 mwana simjui jina, god zilla, bishost janeth na d zonga
 b12, d zonga na mwafa katika pozi za haina majotooooooo hapa nazungumzia fiesta ndani ya iringa
d zonga msanii mkali katika game la musiki wa kizazi kipya mwite mamaaa wa mafungu ya nyanya aka dyna

pozi na wana chadema


 nguvu ya umma
 mara mara moja nikiwa na wanaharakati wa tanzania. hapa ni zitto na d zonga
 zitto na d zonga
 mbowe na d zonga

hapa ni .....

 d zonga ktk pozi
 d zonga, dj nas na temmy g ofisin kwa nje karibu na ofisi za chanel ten
 gari yangu ya mwanzo niliyokuwa natumia ahk
hapa ikipata maji ya kuoga

Tuesday, July 12, 2011

pozi zangu na wana fiesta iringa

 kushoto ni mwandishi wa habari herieth makweta, khadija kalili wa tanzania daima na d zonga wa umeonaee na radio country fm. hapa ni fiesta iringa
 niko na belle 9
 khadija kalili, herieth d zonga, prof j na god zilla hii ni fiesta iringa backstage
kidogo wamenitoka majina hawa mabinti na d zonga ndani ya fiesta

Wednesday, May 18, 2011

d zonga na wana

 d zonga , dj nas na temmy g
d zonga na temmy g

mi na wana enzi hizooooooooooo

lusajo mwakabuku, d zonga, edga kigw, na matokeo wameli ni mwaka 2001 pande za iringa

Tuesday, April 26, 2011

NILIVYOJIACHIA PASAKA

 HAPA POZI LA KUNYOA NDEVU BAADA KWISHA
 NIKIWA SALOON PALE MAENEO YA CCM KWA WINSTON SALOON KUNYOA JAPO NDEVU KIDOGO WADAU
 THEN LIKIJA HILI KAKA CHADEMA HIVI KUMBE NDIO POZI ZA SASA
 CLEMENT SANGA, REMMY SANGA NA D ZONGA HAPA NI MUDA MWAFAKA WA KUTULIZA NJAA SEHEMU YA KWANZA.
 THEN PICHA ZAKAENDELEA
 KILICHOFATA NI BATA KWENDA MBELE PANDE ZA SHOOTER.NIKIWA NA MWANA KATI NA EVANCE MSANII WA FILAMU ZA ERIC SHIGONGO
KAMA WAONA NI SODA NILIKUWA NAKUNYWA.

Wednesday, April 20, 2011

wana wa bongo fleva

Mtu mzima Bob Junior aka Mr. Chocolate Fleva aka Rais wa Masharobaro leo mchana aliibuka mjengoni Clouds FM kwenye kipindi cha XXL na kusema kuwa kuna watu watatu wanaomtishia maisha na amewachukulia RB yao. Watu hao aliowataja kwa jina la Diamond aka Rais Wa Wasafi, Shetta pamoja na Meneja wa Shetta anaitwa Shabaha.
RB hiyo ambayo amewachukuli watu hao inasomeka hivi: OB/RB/6303/2011, baada ya kusikiliza vile nilijaribu kumcheki meneja wa msanii Shetta anayeitwa Shabaha na akaniambia kuwa na yeye kasikia hivyo so ameshangazwa kwa kitendo hicho na wala yeye hajui lolote.
 anajulikana kama d knob kwa sasa ameachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la mr sahani. wadau tumpe sapoti ya kutosha mwana ni mkali kwa sana tu sema ndio vile kubana kwingi kwa media nyingine kama wanaomba kazi. aminia mtu mzima

Monday, April 11, 2011

d zonga na pozi za wana

 nikiwa na dada yangu anajulikana kama j hapa nilikuwa naelekea katika kuangalia game la man u na fulham pembeni ni usafiri naotumia nikiwa iringa wadau
 mtoto mrembo sana wadau ila wameshawekeza wadau
acheni wivu jamani ni dada 2.

Saturday, April 9, 2011

POZI ZANGU

 NIKIWA KATIKA KIPINDI CHA NGOMA ZA MCHANA NA DJ NAS THOUGH HAYUPO KWA PICHA
NI POZI TU LA D ZONGA HAPA NI MWENDO WA KUWAKIMBIZA TU WADAU WA IRINGA NA VITONGOJI VYAKE.

Thursday, April 7, 2011

POZI ZANGU NA WANA

 d zonga nikiwa na dj mdogo kuliko wote pande za iringa anayekimbiza katika kipindi cha ngoma za mchana na d mwenyewe mwite dj nass

 d zonga, dj nas, na rehema salim
clement sanga aka king of love na dj nas hapa tulikuwa kwa ofisi

pozi zangu

 maghetoni na mwana clement sanga hayupo kwa picha
 ni pozi za d zonga tu
juu wyt chini wyt na black