Thursday, January 27, 2011

mwendo wa filamu

natarajia kutoka na filamu kali sana ambayo tumeifanya hapa iringa katika maeneo mbali mbali hapa tulikuwa pande za jiwe gangilonga. d zonga mbele, red ni kamera man anaitwa stev, rado director sam na bahati dereva. subiri ushuhudie

No comments:

Post a Comment